Home Habari Kuu Rais Ruto kuhudhuria mnada wa mbuzi Kimalel

Rais Ruto kuhudhuria mnada wa mbuzi Kimalel

0

Rais William Ruto ataongoza mnada mkubwa zaidi wa mbuzi wa Kimalel katika kaunti ya Baringo siku ya Alhamisi.

Mnada huo wa siku mbili huandaliwa kila mwaka katika eneo la Baringo Kusini.

Utakuwa mwaka wa pili mtawalia kwa Ruto kuongoza mnada.

Website | + posts