Home Habari Kuu Rais Ruto awateua wanachama wa tume ya kutoa msamaha kwa wafungwa

Rais Ruto awateua wanachama wa tume ya kutoa msamaha kwa wafungwa

0
Rais William Ruto

Rais William Ruto amewateua wanachama saba wa tume ya kutoa msamaha kwa wafungwa .

Wanachama walioteuliwa ni pamoja na Dkt Lorna Mutoro Mumelo ,Patrick Musau Musila,John Kutswa Olaka,Dkt Edward Kibiwott Boor ,Askofu Humpton Rogers Namu,Bishar Maalim Abdullahi na Jane Wanjiru Kuria.

Wanachama hao watahudumu kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia Oktoba 5.

Website | + posts