Home Habari Kuu Rais Ruto awasili Djibouti kwa kikao cha IGAD

Rais Ruto awasili Djibouti kwa kikao cha IGAD

0

Rais William Ruto, amewasili Djibouti Jumamosi alasiri kuhudhuria mkutano wa 41 usio wa kawaida wa shirika la IGAD, kutafuta suluhu la mzozo nchini Sudan.

Ruto alilakiwa na mwenyeji wake Ismail Omar Guelleh .

Mkutano huo unafuatia ule wa kwanza wa mwezi Novemba ulioandaliwa kwa njia ya mtandao .