Home Habari Kuu Rais Ruto akutana na bingwa mara nne wa Olimpiki Mo Farah

Rais Ruto akutana na bingwa mara nne wa Olimpiki Mo Farah

0

Rais William Ruto mapema Jumanne amekutana na balozi wa uhisiano mwema wa shirika la kimatifa la uhamiaji (IOM) katika ikulu ya Nairobi .

Mohammed Farah ambaye ni mzawa wa Somalia lakini rai wa Uingereza amekuwa nchini tangu Jumapili iliyopita kwa miradi mbalimbai ya shirika hilo.

Rais Ruto amekariri haja ya kuwepo na uhamiaji usio na vikwazo kutoka nchi moja hadi nyingine.

Ruto pia amekutana na kiongozi wa ujumbe wa IOM Sharon Dimanche.

Faraha alinyakua dhahabiu nne za Olimpiki mwaka 2012 na 2016 katia mbio za mita 5,000 na 10,000 na pia dhahabu sita za dunia,kabla ya kuhamia mbio za barabarani ambazo anakimbia hadi leo.