Home Habari Kuu Rais mstaafu Uhuru Kenyatta atoa krismasi ya shilingi milioni 1 kwa kanisa...

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta atoa krismasi ya shilingi milioni 1 kwa kanisa la JCM Ruiru

0

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta ametoa zawadi ya Krismasi ya shilingi milioni 1 kwa kanisa la JCM eneo la Ruiru,kaunti ya Kiambu.

Uhuru alitoa ahadi iyo kupitia kwa rununu ya mchungaji wa kanisa hilo huku waumini wote wakiskiza .

Kulingana na habari hiyo Uhuru ameahidi kujumuika na waumini wa kanisa hilo kwa ibada wakati mmona mwaka ujao.

Website | + posts