MKUTANO WA 43 WA BARAZA LA BIASHARA, VIWANDA, FEDHA NA UWEKEZAJI LA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI, UMEANZA LEO JIJINI ARUSHA, NCHINI TANZANIA.
MKUTANO HUO UNAWALETA PAMOJA MAKATIBU WAKUU KATIKA SEKTA HIYO, KUTOKA MATAIFA WANACHAMA WA JUMUI AYA AFRIKA MASHARIKI