Home Kaunti Pepea Mashariki: Kujiunga kwa Somalia na EAC kutaleta mabadiliko asema Rais Hassan... Kaunti Pepea Mashariki: Kujiunga kwa Somalia na EAC kutaleta mabadiliko asema Rais Hassan Mohamud By radiotaifa - November 27, 2023 0 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Taifa la Somalia lilijiunga na jumuiya ya Afrika Mashariki wiki iliyopita na kuwa nchi mwanachama wa nane wa jumuiya hiyo, Hata hivyo Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud amesema kujiunga na EAC kutaleta mabadiliko makuu. radiotaifa feedback@kbc.co.ke | Website | + posts Moja kwa Moja, Taarifa ya Habari saa tatu asubuhi Taarifa ya Habari saa saba Mchana Matukio ya Taifa: Rais Ruto aagiza wafanyakazi wa umma kuongezewa Mshahara Matukio ya Taifa: Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta atoa mchango wa shilingi 2M kwa shirika la Msalaba Mwekundu