Home Vipindi Pepea Mashariki: Kongamano la Takwimu za Afya lafikia kikomo, Rwanda

Pepea Mashariki: Kongamano la Takwimu za Afya lafikia kikomo, Rwanda

0

Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bunge la Afrika Mashariki na Pan African Health Informatics Association wamehitimisha kongamano la siku mbili kuhusu takwimu za afya ambalo lilikuwa likiendelea mjini Kigali, Rwanda.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts