Home Vipindi Pepea Mashariki: Kamati ya Kitaifa ya Maridhiano yachukua Mapumziko ya muda

Pepea Mashariki: Kamati ya Kitaifa ya Maridhiano yachukua Mapumziko ya muda

0

Kamati ya mazungumzo ya maridhiano Kati ya Serikali na Upinzani imechukua Mapumziko Hadi Jumatatu ya tarehe 7 Novemba wiki ijayo ,Ili kuruhusu timu ya ufundi kushughulikia masuala ya Uchumi yaliyoibuliwa. Mwanahabari wetu Denis Chisaka ametuandalia Taarifa Ifuatayo …

Website | + posts