Home Vipindi Pepea Mashariki: Juhudi za EAC katika kutoa mazingira bora kwa nchi wanachama

Pepea Mashariki: Juhudi za EAC katika kutoa mazingira bora kwa nchi wanachama

0

JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI IMEELEZA JITIHADA ZAKE KATIKA KUWEKA MAZINGIRA BORA YA USALAMA BAINA YA WANACHAMA WAKE. HATUA HII INATARAJIWA KUCHOCHEA AJENDA ZA KUKUZA USHIRIKIANO WA KANDA.

AKIZUNGUMZA WAKATI WA MKUTANO NA MWENYEKITI WA MARAIS WANACHAMA WA JUMUIA HIYO, AMBAYE PIA NI RAIS WA JAMHURI YA SUDAN KUSINI, SALVA KIIR, KATIBU MKUU WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI MH PETER MATHUKI AMEELEZA IMANI YA JUMUIA HIYO KUIMARISHA MAHUSIANO YA WANACHAMA WAKE.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts