Home Vipindi Pepea Mashariki: Jenerali Francis Ogolla ahutubia Kongamano la wakuu wa majeshi wa...

Pepea Mashariki: Jenerali Francis Ogolla ahutubia Kongamano la wakuu wa majeshi wa Afrika Mashariki

0

KONGAMANO LA WAKUU WA WANAJESHI KUTOKA MATAIFA YALIYOKO KWENYE ENEO LA AFRIKA MASHARIKI LINAENDELEA. KONGAMANO HILO LILILO KWENYE AWAMU YA 32 LILIFUNGULIWA MAPEMA WIKI HII, NA HII LEO, MKUU WA MAJESHI YA KENYA GENERALI FRANCIS OGOLLA AMEHUTUBIA KIKAO HICHO.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts