Home Vipindi Pepea Mashariki: Bunge la EAC kuanza rasmi kutumia lugha ya kiswahili

Pepea Mashariki: Bunge la EAC kuanza rasmi kutumia lugha ya kiswahili

0

BUNGE LA JUMUI AYA AFRIKA MASHARIKI LINATARAJIWA KUANZA KUTUMIA LUGHA YA KISWAHILI KAMA MOJAWAPO YA LUGHA RASMI KATIKA VIKAO VYAKE JIJINI ARUSHA.

KUFAHAMU MENGI KUHUSIANA NA MIPANGO HII YA KUKUZA KISWAHILI BAINA YA MATAIFA WANACHAMA, HAYA NI MAHOJIANO YA AWALI NA KATIBU MKUU WA JUMUIA HIYO DK PETER MATHUKI.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts