Home Vipindi Pepea Mashariki: Benki ya AfDB yaidhinisha ruzuku ya dola milioni 1.4 kwa...

Pepea Mashariki: Benki ya AfDB yaidhinisha ruzuku ya dola milioni 1.4 kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki

0

BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (AfDB) KUPITIA MPANGO WAKE WA USHIRIKIANO WA KUTAYARISHA MRADI WA MAENDELEO NA MIUNDOMBINU BARANI AFRIKA (NEPAD-IPPF) IMEIDHINISHA RUZUKU YA DOLA ZA MAREKANI MILIONI 1.4 KWA JUMUIA YA AFRICA MASHARIKI EAC, KWA MRADI WA BARABARA YA EXPRESSWAY ITAKAYO JENGWA KUPITIA MATAIFA YOTE YA AFRICA MASHARIKI