Papa Mtakatifu wa kanisa la Katoliki Francis amteua Askofu mkuu wa Nyeri Anthony Muheria, kuwa Askofu mkuu wa muda wa kanisia la katoliki Dayosisi ya Embu.
Hii inafuatia kuteuliwa kwa Askofu wa Embu Paul Kariuki, kuongeza tawi mpya la Wote Julai mwaka huu baada ya kuongoza tawi la Embu kwa miaka 14.