Home Kimataifa Omanyala asakamwa na nuksi ya kukosa fainali ya Olimpiki tena

Omanyala asakamwa na nuksi ya kukosa fainali ya Olimpiki tena

0
kra

Ndoto ya bingwa wa Jumuiya ya Madola katika mbio za mita 100 Ferdinand Omanyala ya kuweka historia kuwa Mkenya wa kwanza kufuzu kwa fainali ya Olimpiki ilizimwa Jumapili.

Hii ni baada ya mwanariadha huyo aliye na umri wa miaka 28  kuambulia nafasi ya 8 kwa sekunde 10.08.

kra

Ni miaka mitatu iliyopita ambapo Omanyala pia alibanduliwa katika nusu fainali ya Olimpiki.

Katika mbio za mita 400, mwakilishi pekee wa Kenya Zablon Ekwam alikosa kukamilisha mchujo wake baada  ya kushikwa na ukakamavu wa misuli.

Website | + posts