Home Habari Kuu Omanyala afuzu kwa fainali ya mita 100 katika mashindano ya Riadha ya...

Omanyala afuzu kwa fainali ya mita 100 katika mashindano ya Riadha ya dunia kwa mara ya kwanza

0

Bingwa wa Jumuiya ya madola katika mbio za mita 100 Ferdinand Omanyala amejikati kwa fainali ya mashindano ya dunia kwa mara ya kwa ya kwanza katika historia .

Omanyala amefuzu kwa fainali baada ya kuandikisha muda wa sekunde 10 nukta 01 katika nusu fainali.

Bingwa mtetezi Fred Kerley wa Marekani amekosa kufuzu kwa fainali huku Akani Simbine wa Afrika Kusini aliondolewa kwa kuanza vibaya.

Fainali ya shindano hilo itaandaliwa Jumapili  saa mbili na dakiak 10 usiku.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here