Home Michezo Obiri ,Jepchirchir na Kosgei kuongoza timu ya marathon ya Olimpiki

Obiri ,Jepchirchir na Kosgei kuongoza timu ya marathon ya Olimpiki

0

Bingwa wa Boston na New York marathon mwaka 2023 na mshikilizi wa zamani wa rekodi ya dunia Brigid Kosgei ni miongoni mwa wanariadha walioteuliwa kuiwakilisha Kenya kwa mbio za marathon za michezo ya Olimpiki mwaka huu.

Wengine kwenye kikosi hichop kilichotajwa na kamati ya Olimpiki NOCK siku ya Jumanne ni bingwa wa Chicago marathon mwaka 2022,bingwa mtetezi Peres Jepchirchir na Sharon Lokedi.

Michezo ya Olimpiki makala ya 33  itaandaliwa jijini Paris Ufaransa kuanzia Julai 26 hadi Agost i 11.

Website | + posts