Mashabiki hawatotozwa ada ya kiilingilio kwa mcuyano qa Jumanne Alasiri Septemba 26,kutazama mchuano wa marudio kufuzu kwa fainali za AFCON baina ya Cameroon na Kenya.
Harambee Starlets wametua nchi i Jumapili usiku kutoka mjini Yaounde-Cameroon walioshindwa vao moja kwa nunge na wenyeji.
Kulingana na shirikisho la Kenya ,FKF ujumbe wa kwanza wa Cameroon ulitua Jumapili usiku pamoja na kikosi cha Starlets.
Kikosi cha mwisho cha Cameroon kinatarajiwa kutua Nairobi Jumatatu adhuhuri.
Kenya inalenga kufuzu kwa fainali za kombe la mataifa ya Afrika mwakani nchini Morocco.