Home Burudani Neymar atengana na mchumba wake

Neymar atengana na mchumba wake

0
kra

Mshambulizi wa Brazil Neymar ametengana na mchumba wake Bruna Biancardi majuma kadhaa baada kujaliwa mtoto msichana.

Yamkini michepuko ya Neymar ndio chanzo cha utengano huo.

kra

Biancardi ambaye ni mwanamitindo alitangaza kuachana na nyota huyo kupitia kwa mtandao wa Instagram.

Website | + posts