Home Michezo Morans waanza vibaya mechi za kufuzu kwa FIBA Afrobasket

Morans waanza vibaya mechi za kufuzu kwa FIBA Afrobasket

0
kra

Timu ya taifa ya mpira wa kikapu kwa wanaume wa Kenya imeanza vibaya mechi za kufuzu kwa mashindano ya FIBA Afrobasket baada ya kupoteza pointi 90-67 dhidi ya Tunisia katika mchuano wa kundi E uliosakatwa Ijumaa usiku mjini Monastir, Tunisia.

Wenyeji Tunisia ambao ni mabingwa watetezi walishinda robo ya kwanza pointi 25-11 na 20-15 katika robio ya pili na kwenda mapumzikoni alama 45-26.

kra

Tunisia walinyakua robo ya tatau 20-19 na 25-0 katika kwota ya mwisho ya mchezo.

Website | + posts