Home Michezo Mnyama Simba yamsajili kipa kutoka Brazil

Mnyama Simba yamsajili kipa kutoka Brazil

Jefferson alie na umri wa miaka 29, atapambana na Aishi Manula na Ally Salim katika kinyang'anyoro cha nafasi ya kwanza michumani.

0

Miamba wa nasoka Tanzania bara klabu ya Simba Sports Club imetangaza kukamilisha usajili wa kipa raia wa Brazil Luis Jefferson kwa mkataba wa miaka miwili.

Jefferson alie na umri wa miaka 29, atapambana na Aishi Manula na Ally Salim katika kinyang’anyoro cha nafasi ya kwanza michumani.

Simba wanajiandaa kushiriki ligi ya mabingwa Afrika huku wakitarajia kubaini wapinzani wao katika hatu ya mchujo siku Jumanne wakati wa kuandaliwa kwa droo.

Simba na mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania bara Yanga wataipeperusha bendera ya Tanzania katika kipute cha ligi ya mabingwa Afrika msimu ujao.

Website | + posts

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here