Home Michezo Mkongwe Sati Gata na gari lake la Aura 1977 160J aibuka...

Mkongwe Sati Gata na gari lake la Aura 1977 160J aibuka mshindi wa makala ya 52 ya Concours de’Elegance

0
kra

Sati Gata-akiwa na gari lake aina ya Aura 1977 Nissan 160J ndiye mshindi wa makala ya 52 ya maonyesho ya Concours d’Elegance yaliyoandaliwa Jumapili katika uwanja wa Nairobi Racecourse.

Sati alizoa jumla ya pointi 269 na kutawazwa mashindi kwa mara ya pili tangu mwaka 1988.

kra

Mkongwe huyo amechukua nafasi ya pili kwa gari lake jingine aina ya 1947 MG TG ambalo lilizoa alama 264.

Paras Shah wa gari la 1937 MG TA alimaliza wa tatu kwa pointi 256.

Website | + posts