Home Michezo Messi atua Inter Miami

Messi atua Inter Miami

Messi, atakuwata tayari kuichezea Miami dhidi ya Cruz Azul Julai 21 karika mechi ya ufunguzi ya kombe

0

Mshambulizi wa Argentina Lionel Messi amejiunga rasmi na klabu ya Marekani,ya Inter Miami kwa mkataba utakaodumu hadi mwishoni mwa mwaka 2025.

Messi ambaye ni mshindi mara saba wa tuzo ya mchezaji bora ulimwenguni Ballon d’Or na aliye na umri wa miaka 36, amegura mabingwa wa Ufaransa Paris St-Germain mwishoni mwa msimu uliopita.

Messi, atakuwata tayari kuichezea Miami dhidi ya Cruz Azul Julai 21 katika mechi ya ufunguzi ya kombe .

Website | + posts

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here