Home Michezo Mechi ya Ligi Kuu Ujermani kati ya Munich na Berlin yaahirishwa

Mechi ya Ligi Kuu Ujermani kati ya Munich na Berlin yaahirishwa

0
MUNICH, GERMANY - JANUARY 07: Snow flakes are seen on the corner flag prior to the Bundesliga match between FC Bayern München and Borussia Mönchengladbach at Allianz Arena on January 07, 2022 in Munich, Germany. (Photo by Sebastian Widmann/Getty Images)

Mchuano wa ligi kuu nchini Ujerumani baina ya Bayern Munich na Union Berlin uliokuwa uchezwe Jumamosi jioni umeahirishwa.

Pambano hilo limeahirishwa kutokana na barafu iliyotanda uwanjani Alienz Arena.

Munich ni ya pili ligini kwa alama 32 kutokana na mechi 12, pointi 2 nyuma ya Bayer Leverkusen.

Barafu hiyo pia imesababisha kufutiliwa mbali kwa safari za ndege kuingia na kutoka mjini Munich.

Website | + posts