Home Habari Kuu Wawakilishi Wadi Kericho wataka waliofuja pesa za waathiriwa wa ajali Londiani kuwajibishwa

Wawakilishi Wadi Kericho wataka waliofuja pesa za waathiriwa wa ajali Londiani kuwajibishwa

0

Kamati ya bunge ya kaunti ya Kericho imependekeza kushtakiwa kwa watu sita waliohusika katika ufujaji wa shilingi milioni 14 zilizochangishwa kuwasaidia waathiriwa wa ajali ya barabarani ya Londiani.

Naibu Gavana wa kaunti ya Kericho Fred Kirui anadai shilingi milioni 13.6 zilizochangishwa kuwanufaisha wahasiriwa zimefujwa.

Yamkini watu 6 wakiwemo wawakilishi wadi wa bunge la kaunti ya Kericho wanatuhumiwa kwa kupora pesa hizo.

Website | + posts

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here