Home Vipindi Matukio ya Taifa: Waumini wa Kanisa Katoliki waadhimisha Jumatano ya Majivu

Matukio ya Taifa: Waumini wa Kanisa Katoliki waadhimisha Jumatano ya Majivu

0

Waumini wa Kanisa Katoliki leo wamekusanyika katika maeneo ya ibada kuadhimisha Jumatano ya Majivu, ikiwa ni ishara ya kuanza kwa siku 40 za Kwaresima, kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa Pasaka.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts