Home Vipindi Matukio ya Taifa: Wasimamizi wa shule watakiwa kuhakikisha madereva wa mabasi yao...

Matukio ya Taifa: Wasimamizi wa shule watakiwa kuhakikisha madereva wa mabasi yao wamehitimu

0

Mamlaka ya Usalama barabarani (NTSA) imewataka wasimamizi wa shule kuhakikisha madereva wote wanaohusika na usafiri wa shule wamehitimu na wanahudhuria mafunzo ya mara kwa mara ili kupunguza ajali barabarani.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts