Home Vipindi Matukio ya Taifa: Wanafunzi wahimizwa kusomea masomo yanayowawezesha kupata Ajira

Matukio ya Taifa: Wanafunzi wahimizwa kusomea masomo yanayowawezesha kupata Ajira

0

KWENYE MAKALA YA MATUKIO HII LEO…..

1.Ruto asema kuwa serikali imeanza kutekeleza mfumo wa kutatua kikamilifu athari za mabadiliko ya tabia nchi

2. Kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga asema kuwa ana matumaini ya kunyakuwa wadhifa wa mwenyekiti wa umpja wa Afrika.

3.Wanafunzi wahimizwa kusomea masomo yanayowawezesha kupata Ajira ili kuepukana na kuhangaika baada ya kukamilisha Elimu yao.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts