Home Vipindi Matukio ya Taifa: Watahiniwa 352,782 wapata kati ya alama 300 na 399...

Matukio ya Taifa: Watahiniwa 352,782 wapata kati ya alama 300 na 399 KCPE 2023

0

Jumla ya watahiniwa 8,523 walinakili zaidi ya alama 400 huku 352,782 wakinakili kati ya alama 300 na 399 katika mtihani wa kitaifa wa darasa la nane mwaka huu.

Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu alitoa tangazo hilo Alhamisi, Novemba 23 alipotangaza rasmi matokeo ya mtihani huo.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts