Home Kaunti Matukio ya Taifa: Wakazi wanaoishi nyanda za chini Lamu watakiwa kuhama kuepuka...

Matukio ya Taifa: Wakazi wanaoishi nyanda za chini Lamu watakiwa kuhama kuepuka mafuriko

Wakaazi wa Lamu wanaoishi maeneo nyanda za chini na mabondeni wametakiwa kuhamia maeneo ya juu ili kuepuka kusombwa na mafuriko.

0
kra

Huku mvua ya elinino ikizidi kunyesha sehemu mbali mbali hapa inchini, Wakaazi wa Lamu wanaoishi maeneo nyanda za chini na mabondeni wametakiwa kuhamia maeneo ya juu ili kuepuka kusombwa na mafuriko.

kra
feedback@kbc.co.ke | Website | + posts