Home Vipindi Matukio ya Taifa: Wakazi wa Mundika kaunti ya Busia walilia Serikali

Matukio ya Taifa: Wakazi wa Mundika kaunti ya Busia walilia Serikali

0

KWENYE MAKALA YA MATUKIO HII LEO…..

  1. Wakaazi wa eneo la Mundika huko Busia waitaka serikali ya kitaifa na ile ya kaunti kutengeneza njia mbadala itakayotumiwa na magari ya abiria ili kuepukana na ajali za mara kwa mara katika eneo hilo

    2.Shirika lisilo la serikali huko homabay lavumbua visodo kama njia ya kuimarisha usafi wa mazingira katika kaunti hiyo

    3.Wakulima huko Kakamega wataka kunufaika na mafunzo ya ukulima kutoka kwa wenzao ambao wamepokea mafunzo ya kilimo