Home Vipindi Matukio ya Taifa: Wakaazi wa Sofia, Taita Taveta waishi kwa hofu ya...

Matukio ya Taifa: Wakaazi wa Sofia, Taita Taveta waishi kwa hofu ya kufurushwa

0

Wakaazi wa Kijiji Cha Sofia Relini mjini Voi kaunti ya Taita taveta Sasa wanaishi Kwa hofu ya kufurushwa kutoka makaazi yao baada ya Watu wasiyojulikana kutembelea eneo hilo usiku wa kuamkia jana wakiwa wameandamana na maafisa wa polisi na kuanza kuweka mipaka katika makaazi hao