KATIKA MAKALA YA MATUKIO YA TAIFA HII LEO….
1. RAIS WAILLIAM RUTO AWAHAKIKISHIA WABUNGE KUPEWA FEDHA ZA HAZINA YA KITAIFA YA USTAWISHAJI MAENEO BUNGE IFIKAPO JANUARI
2. WAFUNGWA KATIKA GEREZA LA TAMBACH WATAKA MAHAKAMA KUWAPA MSAMAHA BAADA YA KUREKEBIKA
3. WALIMU WA SHULE ZA MSINGI SEKONDARI WANEDELEA KUSHINIKIZA KUAJIRIWA KWA KANDARASI ZA KUDUMU.