Home Vipindi Matukio ya Taifa: Wanabiashara Gatunga, Tharaka Nithi wagoma kulipa kodi

Matukio ya Taifa: Wanabiashara Gatunga, Tharaka Nithi wagoma kulipa kodi

0

Wafanyabishara katika wadi ya Gatunga kaunti ya Tharaka Nithi wametangaza kususia kulipa kodi kwa serikali ya kaunti hiyo kwa madai kwamba serikali hiyo haijakuwa ikiwapa maendeleo licha ya kulipa kodi.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts