Home Vipindi Matukio ya Taifa: Walimu 37 na polisi 30 wauawa na Al-Shabaab tangu...

Matukio ya Taifa: Walimu 37 na polisi 30 wauawa na Al-Shabaab tangu 2013

Waziri wa Usalama wa Ndani Prof Kithure Kindiki, anasema wanamgambo wa Alshaabab wamekuwa tatizo kuu kwa usalama wa wakenya

0

Takriban walimu 37 wameuwawa na magaidi wa Al-shaabab na maafisa 30 wa polisi tangu mwaka 2013. Akitoa takwimu hizo, Waziri wa Usalama wa Taifa Prof. Kithure Kindiki amesema wanamgambo wa Al-Shabaab wamekuwa tatizo kuu kwa usalama wa Wakenya hasa wanaoishi katika kaunti zilizoko mipakani mwa Kenya na Somalia.

Website | + posts

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here