Home Vipindi Matukio ya Taifa: Visa vinne vya ugonjwa wa kipindupindu vyathibitishwa Tana Delta

Matukio ya Taifa: Visa vinne vya ugonjwa wa kipindupindu vyathibitishwa Tana Delta

0

Visa vinne vya ugonjwa wa kipindupindu vimethibitishwa eneo bunge la Garsen, kaunti ndogo ya Tana Delta huku watu wengine watatu wakifanyiwa uchunguzi kuhusiana na maradhi hayo.