Home Vipindi Matukio ya Taifa: Viongozi wa Siasa wahimizwa kuleta Uwiano na Utangamano

Matukio ya Taifa: Viongozi wa Siasa wahimizwa kuleta Uwiano na Utangamano

0

Viongozi wa kisiasa wamehimizwa kuleta uwiano na utangamano kati ya nguzo tatu kuu za serikali. Akizungumza na meza ya matukio ya taifa, Joseph Simekha, mchanganuzi wa masuala kisiasa amesema kuwa ukosefu wa umoja kati ya nguzo hizo kuu unalemaza maendeleo ya taifa.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts