Home Vipindi Matukio ya Taifa: Upinzani waunga mkono azma ya Raila Odinga kuwa Mwenyekiti...

Matukio ya Taifa: Upinzani waunga mkono azma ya Raila Odinga kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika

0

Hujambo msikilizaji na karibu katika makala yetu ya kila siku ya matukio ya Taifa; Miongoni mwa taarifa tuliokuandlia ni;

  • Upinzani kuunga mkono azma ya Raila Odinga kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika
  • Kenya imeondolewa kwenye orodha ya nchi zilizopigwa marufuku baada ya kuripoti kesi za udanganyifu miongoni mwa wanariadha wake.
  • Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshugulikia maswala ya haki za binadamu imewasilisha ripoti kuhusu vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan.