Home Vipindi Matukio ya Taifa: UNESCO yatilia mkazo haja ya kuwezesha wanafunzi kupata maarifa...

Matukio ya Taifa: UNESCO yatilia mkazo haja ya kuwezesha wanafunzi kupata maarifa na ujuzi

0

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limetilia mkazo haja ya kuwawezesha wanafunzi kupata maarifa, maadili, mitazamo na ujuzi utakaowageuza kuwa mabalozi wa amani na maendeleo katika jamii zao

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts