Home Vipindi Matukio ya Taifa: Ukosefu wa umakini unachangia idadi kubwa ya ajali barabarani

Matukio ya Taifa: Ukosefu wa umakini unachangia idadi kubwa ya ajali barabarani

0

Watumizi wa barabara wametakiwa kuchukua jukumu la kuhakikisha usalama barabarani unadumishwa msimu huu wa Disemba, huku ikibainika kwamba ajali nyingi za barabara husababishwa na watumizi wa barabara kukosa kumakinika.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts