Home Vipindi Matukio ya Taifa: Ukosefu wa miundombinu chanzo kikuu cha ukosefu wa usalama...

Matukio ya Taifa: Ukosefu wa miundombinu chanzo kikuu cha ukosefu wa usalama Turkana

0

Kulingana na Naibu Inspekta Mkuu wa Polisi Gitivo Mwita, ukosefu wa barabara na mipaka thabiti katika kaunti ya Turkana umechangia pakubwa ukosefu wa usalama katika eneo hilo.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts