Home Vipindi Matukio ya Taifa: Ufisadi, mojawapo wa tatizo sugu linaloikumba Kenya

Matukio ya Taifa: Ufisadi, mojawapo wa tatizo sugu linaloikumba Kenya

Ufisadi, Mojawapo wa tatizo sugu linaloikumba Kenya

0

Ufisadi bado umeorodheshwa kama mojawapo ya matatizo makubwa yanayoikabili nchi yetu. Licha ya hatua muhimu zilizochukuliwa na Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi, EACC katika kuleta utulivu katika sekta mbalimbali za uchumi, bado janga hilo limesalia kuwa mwiba nchini.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts