Home Vipindi Matukio ya Taifa: Serikali yawataka madaktari kuwa na Subra, matakwa yao yakiangaziwa

Matukio ya Taifa: Serikali yawataka madaktari kuwa na Subra, matakwa yao yakiangaziwa

0

Serikali imewataka madaktari kuwa na subira huku ikiahidi kutimiza sehemu yake ya makubaliano ya kuajiri zaidi ya madaktari 3,500 wanaohudumu kwa kandarasi kuanzia Aprili mosi.