Home Vipindi Matukio ya Taifa: Serikali yatakiwa kutafuta suluhu ya nyakati ngumu zinazo wahangaisha...

Matukio ya Taifa: Serikali yatakiwa kutafuta suluhu ya nyakati ngumu zinazo wahangaisha Wakenya

0

Serikali imetakiwa kutafuta suluhisho kukabili wakati mgumu wa fedha unaokumba Wakenya wengi. Haya yanajiri siku chache tu baada ya Waziri wa Fedha Prof. Njuguna Ndung’u kuliambia bunge la kitaifa kwamba hali ya fedha serikalini ni ngumu kwa wakati huu.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts