Home Vipindi Matukio ya Taifa: Serikali yatakiwa kubuni ajira kwa vijana kukabili dawa za...

Matukio ya Taifa: Serikali yatakiwa kubuni ajira kwa vijana kukabili dawa za kulevya

0

Serikali imetakiwa kuongeza juhudi za kubuni nafasi za ajira miongoni mwa vijana kama hatua ya kukabili athari za matumizi ya dawa za kulevya katika maeneo mbalimbali nchini.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts