Home Vipindi Matukio ya Taifa: Serikali yahimizwa kushughulikia suala la haki na usawa wa...

Matukio ya Taifa: Serikali yahimizwa kushughulikia suala la haki na usawa wa jamii

0

Serikali imehimizwa kutumia hatua mwafaka kushughulikia suala la haki na usawa wa jamii katika utendakazi wa umma. Haya yanajiri baada ya ripoti ya tume ya utumishi wa umma, PSC kufichua kuwa ni jamii 4 pekee kati ya 46 nchini Kenya zinazounda idadi kubwa ya wafanyakazi katika utumishi wa umma.

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts