Home Vipindi Matukio ya Taifa; Serikali ya Busia yapokea Msaada wa dawa kutoka WHO

Matukio ya Taifa; Serikali ya Busia yapokea Msaada wa dawa kutoka WHO

0

Serikali ya kaunti ya busia imepokea msaada wa dawa uliogharimu takriban shilingi  milioni  mbili  kutoka kwa shirika la afya duniani WHO kwa ajili ya kusaidia wakaazi kukabiliana na magonjwa yanasababishwa na mvua ya elnino.