Home Vipindi Matukio ya Taifa: Rais William Ruto awasuta viongozi wa upinzani kwa kuendelea...

Matukio ya Taifa: Rais William Ruto awasuta viongozi wa upinzani kwa kuendelea kukashifu mipango ya serikali

0

Rais William Ruto amewasuta viongozi wa upinzani kwa kuendelea kukashifu mipango ya serikali. Akizungumza kaunti ya meru Rais Ruto ameutaka upinzani ikuelezea bayana mipango walionayo kwa serikali badala ya kukosoa serikali kila wakati.