Home Vipindi Matukio ya Taifa: Rais Ruto azindua miradi ya mabilioni, Nyanza

Matukio ya Taifa: Rais Ruto azindua miradi ya mabilioni, Nyanza

0

Ziara ya Rais William Ruto katika mkoa wa Nyanza imepongezwa na wengi. Rais William Ruto alizindua miradi mbali mbali katika kaunti za mkoa huo unaoegemea mrengo wa Upinzani.