Home Kaunti Matukio ya Taifa: Rais Ruto ayahimiza mataifa kubuni njia mbadala za mifuko...

Matukio ya Taifa: Rais Ruto ayahimiza mataifa kubuni njia mbadala za mifuko ya plastiki

0
kra

Rais William Ruto ameyahimiza mataifa ulimwenguni kubuni njia mbadala ya matumizi ya plastiki kuzuia uchafuzi wa mazingira.

Akizungumza katika ufunguzi wa makala ya tatu ya kamati ya majadiliano baina ya serikali kuhusu kukabiliana na uchafuzi wa mazingira kutumia plastiki katika afisi ya Umoja wa Mataifa, Ruto aliwataka wazalishaji bidhaa na wavumbuzi kubuni njia mbadala zisizo za plastiki au za bidhaa za plastiki ambazo haziathiri mazingira, afya na uhusiano wa kijamii.

kra

feedback@kbc.co.ke | Website | + posts